KUWA WAKWANZA KUPATA HABARI MOTOMOT

Pages

Featured Posts

Thursday, April 17, 2014

MAAJABU! MAITI YAOMBEWA IFUFUKE, YAGOMA

HIKI ni kioja! Ndugu wa marehemu Elitha Kaizilege ambaye alipatwa na mauti katika Hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni jijini Dar wiki iliyopita, walifanya tukio la aina yake baada kutokukubali kama ndugu yao amefariki.
Ndugu wa marehemu Elitha Kaizilege wakipeleka mwili wa ndugu yao kanisani kwa ajili ya maombi.
Ndugu hao wa marehemu walizuia mwili huo kupelekwa mochwari na badala yake wakauombea kwa saa sita hospitalini hapo wakiamini ataamka, kwani ugonjwa wake ni wa kulogwa.
Kana kwamba haitoshi, baada ya muda huo kupita, ndugu hao, wanaosadikika kuwa ni waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima, waliupeleka kanisani hapo ambapo uliombewa zaidi ya saa mbili mwili huo ili uamke, ikashindikana.

WEMA AMFUNGIA DIAMOND, AINGIA MITINI MSIBA WA MZEE GURUMO

HAYA yanaweza kuwa ni mambo ya malovee! Kuna madai kwamba Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ alishindwa kushiriki zoezi la kuuaga mwili wa mwanamuziki mkongwe Tanzania, marehemu Muhidin Mwalimu Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ kwa sababu alifungiwa asitoke ndani na mwandani wake madam Wema Sepetu, Ijumaa linakudadavulia.
Wema Sepetu

PICHA ZA WATOTO WAWILI MAPACHA WALIOFANANA…!!

Conjoined twins Shivanath and Shivram Sahu caused quite a stir when they were born in India, with some people in their village worshipping them as divine incarnations. And while one doctor has said that it would be possible to separate them, the 12-year-old boys, who were born joined at the waist, are determined to remain together.

The twins share two legs and four arms and work in tandem to get around. They are believed to share the same stomach but have independent lungs, hearts and brains.


KAULI YA MWENYEKITI WA UKAWA MBOWE KUHUSU KUSUSIA BUNGE

Jana katika kipindi cha KUMEPAMBAZUKA kinachorushwa hewani na kituo cha Radio cha RADIO ONE STERIO alisikika Aikael Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa UKAWA kutoka nje ya bunge maalumu la katiba na kutorudi tena bungeni bali kwenda kwa wananchi.




mbowe

 

Mheshimiwa Mbowe ameeleza jinsi ambavyo bunge linavyoendeshwa kwa upendeleo mkubwa sana,Matusi makubwa ya nguoni kwa wajumbe wenye mawazo tofauti na ya serikali ya ccm,kutumia vitisho vingi,udhalilishaji na uonevu mkubwa .

Friday, February 7, 2014

EFA ALIYEMLIMA NYEKUNDU RONALDO AFUNGIWA MWEZI MMOJA NA KUPIGWA STOP KABISA KUCHEZESHA MECHI ZA REAL MADRID

REFA aliyemuonyesha kadi nyekundu Cristiano Ronaldo wakati Real Madrid ikitoa sare na Athletic Bilbao mwishoni mwa wiki iliyopita amefungiwa kwa sababu za kuvurunda katika maamuzi yake.
Kamati ya Ufundi ya Marefa Hispania (CTA) limemfungia kwa mwezi mmoja Miguel Angel Ayza Gamez na hataruhusiwa kabisa kuchezesha mechi za Real msimu huu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Hispania, kuna hatari zaidi akaondolewa kabisa katika orodha ya marefa wa La Liga kutokana na madudu aliyoyafanya katika mechi hiyo.

Imemtokea puani: Ayza Gamez, refa aliyemuonyesha kadi nyekundu Cristiano Ronaldo katika mechi baina ya Real Madrid na Athletic Bilbao Jumapili iliyopita, naye amefungiwa mwezi mmoja na kuzuiwa kabisa kuchezesha mechi za Real
WAIRANI KORTINI KWA KUKUTWA NA"UNGA" KWENYE MELI


Washitakiwa wakipelekwa kizimbani.
Msafara wa kuelekea kizimbani.
Wakisubiri kupandishwa kizimbani.
Mmoja wa washitakiwa akionesha ishara ya vidole viwili.
Wakiwa kizimbani baada ya kutajiwa shitaka lao.
RAIA 11 wa Iran, leo wamepandishwa kizimbani kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar wakikabiliwa na shitaka la kunaswa na shehena ya madawa ya kulevya wakiwa kwenye meli. Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na Mwendesha Mashitaka wa mahakama hiyo, Hellen Moshi, mbele Hakimu wa mahakama hiyo, Nyigulila Mwaseba ambapo hawakutakiwa kujibu chochote mpaka Februari 24 kesi hiyo itakapotajwa tena.

Saturday, August 10, 2013

SAKATA LA DAWA ZA KULEVYA LAZIDI KUPAMBA MOTO...

Sunday, August 11, 2013 | 12:52 AM



OFISA wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), aliyekuwa zamu siku dawa za kulevya zilipopitishwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam na kukamatwa Afrika Kusini amesimamishwa kazi.
Dawa hizo zilipitishwa na wanawake wawili zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh bilioni 6.8 wakitoka nchini ambapo ofisa aliyekuwa sehemu ya kukagua mizigo alihusishwa na kusimamishwa kazi huku uchunguzi ukiendelea.
 

Sample text

Sample Text