Saturday, August 10, 2013 | 7:57 PM
“Disgusting, sick men. I won’t be going to Zanzibar any time soon
thanks, ni maoni ya Shirley Bisschoff aliyoyatoa kwenye mtandao wa New24
wa Afrika Kusini huku – Mike North wa Uingereza akiandika kwenye
mtandao wa Daily Mail wa Uingereza, “Another reason never to go to these
pitiful countries leave them well alone , crazy.”
Katie Gee, aliyefunikwa blanketi akiwa na mama yake wakiingia hospitali baada ya kusafirishwa kutoka Zanzibar
Maneno
hayo yanatosha kuonesha picha halisi ya namna tukio la kumwagiwa
tindikali wasichana warembo, wenye umri msogo, wasio na hatia na
walioamua kuacha raha za kwao Uingereza kwenda kujitolea kufundisha
watoto yatima visiwani Zanzibar, linavyoweza kuathiri sekta ya utalii
katika visiwa hivyo.
“Tourism is the second-biggest
foreign-exchange earner in Tanzania after mining and any lasting damage
to the country’s reputation abroad could hurt industry revenues,”
wameandika New24.
Katie Gee na Kirstie Trup ambao wote wana
umri wa miaka 18 kwa sasa wamelazwa kwenye hospitali ya Chelsea and
Westminster nchini Uingereza kutibiwa majeraha yao yaliyotokana na
kumwagiwa tindikali hiyo.
Mungu ndio anajua ni idadi ya watalii wangapi walioghairi kwenda Zanzibar kupumzika kuhofia usalama wao baada ya tukio hilo.
Haya
ni baadhi ya maoni ya Watanzania na raia wengine waliyoyatoa kwenye
kurasa Za Facebook NA Twitter za Bongo5 kuhusiana na tukio hilo.
Jeannette L. Ladyj
Few
of you can’t destroy the pride of the whole country! Jifunzeni utu na
kuwaza kabla ya kutenda. Upumbavu huu!!! Nnavyoisifia Nchi yetu! Loo!?
Olivia Mosses
Inasikitisha
na kufedhehesha,tabia mbaya sana maisha yatakapo kua magumu kwa kukosa
watali ndo mtashika adabu na kulima hawajui….aibu tupu mwaka huu.
Macharia Gladys
Very
very sad I thought Zanzibar as a peaceful place full of beauty am
scared will never go there its painful the thought of those 2 gals. So
why can’t I sing or be myself and enjoy life ? Nobody gets offended in
Christianity just coz somebody has sang a song or wore their small or
long clothes? this is just crazy and inhuman c’mon Zanzibar you’ve hit
below the belt.
Sebastian Godfrey
Watu
watumie akili na utu wawaze kabla ya kutenda sasa zenji mnaingia hasara
kwenye utalii, dunia sasa hivi ni kama mtaa habari zimefika kwingi
unadhani watakua na amani ya kuja huko mmekosa kazi inabid mpelekwe
kwenye mapori mkalime mmeniboa baadhi ya wafwata mkumbo na ukikamatwa
utafungwa hadi libomoke ndo utoke.
Lister Osward
Hii nchi ya Tanzania siku hizi inapata sifa mbaya sana. Sijui tunakoelekea ni wapi kwa kweli..MUNGU TUSAIDIE
Lord Herry
It’s
serious matter for our country we should do some thing other wise our
tourism sector will be doom,I fill So sad for the girls. I wish they get
caught. It’s sad and painful for me also for there family,I wish them
get well and speed recovery.
Hika Lyimo
This act brought shame to our country…its sad, how big of an impact this will cause on so many level.
No comments:
Post a Comment